KOCHA GAMERA AJITOA FUFUNI, NEW CITY YASISITIZA KUTOSHUKA DARAJA
KOCHA Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohammed ‘Mani Gamera’ ameamua kuachana na timu hiyo baada ya kumalizika kwa mechi ya hatua ya robo…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
KOCHA Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohammed ‘Mani Gamera’ ameamua kuachana na timu hiyo baada ya kumalizika kwa mechi ya hatua ya robo…
BRASILIA, BRAZIL: HATIMAYE Neymar Jr amejumuishwa katika kikosi cha timu ya taifacha mastaa 55, huku nchi mbalimbali zikianza kutangaza vikosi vya awali kwa…
KIUNGO wa KMC, Omary Chibada amesema amekuwa akivutiwa na kiwango cha Duke Abuya kutokana na namna anavyocheza kwa utulivu mkubwa. Abuya alijiunga…
ILE siku ambayo Watanzania wengi walikuwa wakiisubiri imewadia, ambapo timu ya Taifa ya soka chini ya miaka miaka 17 (Serengeti Boys), leo…
Siku zote jangwa la uarabuni alijawahi kuishiwa mali hata kidogo, huku ni mahali pekee unaenda na kitu kidogo na unarudi na faida kubwa…
BAADA ya kupoteza mchezo dhidi ya Dodoma Jiji FC, uongozi wa Yanga SC umeweka wazi kuwa matokeo hayo hayajawaondolea morali ya kuendelea…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kwa sasa nguvu, akili na mipango yote ya klabu…
DODOMA Jiji FC wamezidi kuchanganya mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuonesha kiwango…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameweka wazi kuwa siri ya uimara wa timu hiyo haipo…
Mbio za ubingwa zinazidi kunoga huku timu kadhaa zikishuka uwanjani siku ya leo kusaka ushindi. City, Sevill, PSG na wengine wengi kuoneshana…
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, leo anaingia uwanjani ugenini kupambana na Dodoma Jiji, katika mechi yenye hesabu kali. Katika…