BAADA YA PEDRO KUONDOKA, BUBA KIKAANGONI
MAISHA ya winga wa Yanga SC, Buba Jammeh, ndani ya kikosi hicho yanaonekana kuingia kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kuonyesha kiwango…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
MAISHA ya winga wa Yanga SC, Buba Jammeh, ndani ya kikosi hicho yanaonekana kuingia kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kuonyesha kiwango…
MADRID, HISPANIA: HALI ya sintofahamu ndani ya Real Madrid imezidi kuwa mbaya baada ya kufichuliwa kwa jina la mchezaji aliyedaiwa kupigwa na beki…
BIRMINGHAM, ENGLAND: KATIKA usiku mdogo wa Ulaya, macho yote ya mashabiki wengi wa soka yataelekezwa Villa Park ambapo Aston Villa watakuwa na kibarua…
VITA ya kuwania taji la mchezaji mwenye pasi nyingi za mabao kwenye Ligi Kuu ya NBC 2025/26 imezidi kupamba moto kadri msimu…
WAKATI dirisha kubwa la usajili bado halijafunguliwa rasmi, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameanza kuonyesha dalili za kufanya…
UONGOZI wa Simba SC umeanza harakati za kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao, huku Kocha Mkuu, Steve Barker, akitajwa kuanza kupendekeza baadhi…
Wachezaji wengi wanafahamu hisia ya kukosa kwenye mchezo na kuondoka mikono mitupu. Lakini Meridianbet wameleta njia mpya ya kuangalia mchezo, kwamba hata…
SIMBA SC imeendelea kushikilia nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC umetibua hali ya hewa ya soka la Tanzania baada ya kutangaza rasmi kumfuta kazi Kocha Mkuu,…
YANGA imeendelea kuchachamaa katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi muhimu wa bao 1-0…
Mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya Bayern Munich na Paris Saint-Germain unaweza kuangaliwa kupitia…
DAKIKA 90 za mechi baina ya KMC dhidi ya Yanga itakayochezwa leo Jumatano saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar…