Trending Stories
View All
DAU LA SAMATTA NOMA, GENK WAZIDI KUMKOMALIA KINOMA
UONGOZI wa klabu ya KRC Genk umeamua kuongeza tena dau kwa timu zinazomtaka mshambuliaji wake, Mtanzania Mbwana Samatta kutoka shilingi…
KICHUYA: NINARUDI BONGO KUCHEZA HAKUNA TAABU
SHIZA Kichuya ameweka wazi kwamba baada ya muda wake kumalizika ndani ya klabu ya ENNPI ya Misri kwa sasa anatamani…
HAJI MANARA ATANGAZA KUBWAGA MANYANGA NDANI YA SIMBA
IMEELEZWA kuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa anampango wa kuachia ngazi ya uongozi ndani ya Simba.Kwa sasa…
HIZI NDIZO SABABU ZA KINDOKI KUPIGWA CHINI YANGA, MWILI JUMBA ATAJWA
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amethibitisha kuwa ameliondoa jina la kipa wake, Klaus Kindoki katika usajili wao na kumpeleka…
YANGA WAENDELEA NA SPOTIPESA WIKI YA MWANANCHI
MASHABIKI wa Yanga wa mkaoni Njombe wamendelea na wiki ya SportiPesaWikiYaMwanachi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.Licha ya baridi kali…
KIKOSI CHA MAUAJI CHA MBAO FC MSIMU WA 2019/20
KIKOSI kazi cha Mbao FC msimu wa 2019/20 kipo namna hii:-
KUMUONA SIBOMANA, JUMA BALINYA NI BUKU TANO TU TAIFA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kuelekea siku ya kilele cha Mwananchi Agosti 4 mambo yamekamilika kwa asilimia kubwa ni suala…
MBAPPE AMKOMALIA NEYMAR AMTAKA ABAKI PSG
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Paris Saint Germain (PSG), Kylian Mbappe amesema kuwa anataka kumuona mchezaji mwenzake Neymar Jr anabaki ndani…
MESSI ASIMAMISHWA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIMATAIFA MIEZI MITATU
LIONEL Messi, nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina amesimamishwa kutoshiriki michuano ya kimataifa Kwa muda wa miezi mitatu.Hatua hiyo…
SPOTIPESA SIMBA WIKI IMEPAMBA MOTO DAR MPAKA MWANZA, LEO NI MWENDELEZO
SIMBA wameamua kurejesha kwa jamii, ambapo kuelekea kwenye SpotiPesa Simba Wiki mashabiki wameanza kujitolea kwa jamii.Mashabiki wameanza kujitoa kwa kutoa…
LEO NI ZAMU YA RUVU SHOOTING KUMENYANA NA AZAM FC
AZAM FC leo inashuka uwanjani kumenyana na kikosi cha Ruvu Shooting.Mchezo huu wa kujipima nguvu utachezwa uwanja wa Chamazi majira…
SIMBA: KUUJAZA UWANJA WA TAIFA NI JADI YETU, MASHABIKI JADI IENDELEE
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa uongozi wa Simba una imani na mashabiki wake hasa linapokuja suala la…
YANGA: MASHABIKI JITOKEZENI TAIFA MUONE BURUDANI
MSHINDO Msolla, Mwenyekti wa Yanga amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi siku ya Agosti 4 uwanja wa Taifa kuona namna watakavyotoa…
HARRY MAGUIRE KUMALIZANA NA MANCHESTER UNITED MAPEMA KWA MKWANJA MREFU
HARRY Maguire anatajwa kuja kuwa mchezaji ghali duniani baada ya Manchester United kukubali kuweka mzigo wa pauni milioni 85 kukamilisha…
NAHODHA STARS: TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MBELE YA KENYA
JOHN Bocco, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema kuwa imani kubwa kwa sasa ni kupata matokeo…
TFF KUZIPIGA PANGA TIMU ZA TPL MSIMU
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kupunguza timu zinazoshiriki ligi kuu Soka Tanzania bara mpaka kufikia timu 16.Kupitia…