Michezo Soka la Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Soka la Bongo

TUNISIA WATAVUNJA MWIKO KOMBE LA DUNIA

TUNIS, TUNISIA: KUNA timu ukizitazama unaweza usisikie kelele, mastaa wa gharama kubwa au presha kutoka kwa mashabiki wao, lakini katika mashindano makubwa…

May 18, 2026
Michezo Soka la Bongo

RAUNDI YA 17 WPL KINAWAKA LEO

Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania itaendelea leo Mei 18 kwa mechi za raundi ya 17, huku Simba Queens, Yanga Princess na JKT…

May 18, 2026
Michezo Soka la Bongo

MRWANDA AFANYIWA MAJARIBIO YANGA PRINCESS

YANGA Princess imeanza mchakato wa kuboresha kikosi hicho mapema kwa ajili ya msimu ujao na inaelezwa inamfanyia majaribio mshambuliaji wa Kamonyi WFC…

May 18, 2026
Michezo Soka la Bongo

MNOGA ANA KIBARUA WEMBLEY

WAKATI winga wa Tanzania, Tarryn Allarakhia akifurahia kuipandisha daraja Rochdale AFC kutoka Ligi Daraja la Nne England maarufu National League kwenda League…

May 18, 2026