Yanga Yaanza Mipango Ya Kumfanya Selemani Mwalimu Kuwa Mali Yao Jumla
Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imeanza rasmi mchakato wa kuhakikisha inamweka mikononi mwake mshambuliaji mwenye kiwango cha juu, Selemani Mwalimu, kwa…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Simba SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea habari za <strong>Simba SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imeanza rasmi mchakato wa kuhakikisha inamweka mikononi mwake mshambuliaji mwenye kiwango cha juu, Selemani Mwalimu, kwa…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba SC, Neo Maema, amefunguka kuwa ushindi wao wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Mzizima…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewatupia kijembe cha mbalimbali mahasimu wao wakubwa, Yanga SC, akieleza…
Nahodha wa Simba SC, Rushine De Reuck, ameweka wazi kuwa ushindi wa mabao 2-0 walioupata dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameeleza kufurahishwa kwake na uimara wa safu ya ulinzi ya timu hiyo baada ya kuibuka…
Simba SC imefanikiwa kufuta uteja dhidi ya Azam FC baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 2-0 katika mchezo wa Mzizima…
Dabi ya Mzizima si vita ya Simba SC na Azam FC pekee, bali ni pambano ambalo kila msimu huja na sura mpya,…
MSHIKEMSHIKE wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaingia raundi ya nne leo kwa mechi mbili za kukata na shoka, huku macho na masikio…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo kwa kuweka wazi kuwa…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa tahadhari kubwa kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu…
DAR ES SALAAM: Baada ya kutetemesha bara la Afrika kwa ushindi mnono wa mabao 6-1 katika Ligi ya Mabingwa Afrika, kiungo mchezeshaji…
Kitendo cha Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, kumpa nafasi mshambuliaji Ismail Mgunda kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF)…