SIRI YAFICHUKA HIKI NDICHO KINACHOWAFANYA YANGA WASIFUNGWE
MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, ameibuka na takwimu nzito zinazoonyesha uimara wa timu hiyo baada ya kukamilika kwa michezo mitano ya mwanzo…
Browse all posts in this category.
MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, ameibuka na takwimu nzito zinazoonyesha uimara wa timu hiyo baada ya kukamilika kwa michezo mitano ya mwanzo…
KIUNGO wa Simba, Mohammed Bajaber, ameanza kurejea taratibu kwenye ubora wake baada ya kupata nafasi ya kucheza dakika 45 ambazo zimeonyesha mwanga…
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi sababu ya kuhamishia mchezo wa Kariakoo Derby katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, ukieleza kuwa uamuzi…
NYASI za Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, leo saa 2:15 zitawaka moto zitakapokutanisha wapinzani wawili Yanga dhidi ya Azam FC…
WAKATI presha ya kuelekea fainali ya Kombe la Muungano ikiendelea kupanda, vita ya maneno kati ya watani wa jadi, Simba na Yanga,…
KOCHA mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza, amesema matokeo ya hivi karibuni ya Fountain Gate yameanza kumpa wakati mgumu kuelekea mchezo ujao…
LIGI Kuu Bara imesimama kupisha michuano ya Kombe la Muungano inayoendelea visiwani Zanzibar na licha ya mashabiki kufuatilia timu zao huko, akili…
KUNA mchezo mmoja wenye hadhi ya fainali utakaopigwa leo Uwanja wa Amaan kuanzia saa 2:15 usiku na Azam FC itakutana na bingwa…
UHONDO wa Ligi ya Championship unaendelea wikiendi hii kwa mechi tano kupigwa leo Jumamosi na nyingine pia tatu kesho Jumapili, kuhitimisha raundi…
MACHO na masikio ya wadau wa soka nchini kwa sasa yameelekezwa visiwani Zanzibar, wakisubiri kwa hamu kuona kama ndoto ya fainali ya…
LIGI ya Zanzibar imeelezwa kumpa wakati mgumu kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Miguel Gamondi, kutokana na kutokuwepo kwa ushindani mkubwa…
BARCELONA, HISPANIA: Mechi kubwa ya El Clasico kati ya FC Barcelona na Real Madrid imeingia katika sintofahamu mpya baada ya mastaa wake…