YANGA SC YAJA KWA KASI YAO, ZIMBWE JR ASEMA SIMBA SIO TATIZO
BEKI wa pembeni wa Yanga SC, Mohammed Hussein ‘Zimbwe JR’, amesema hakuna presha yoyote ndani ya kikosi hicho kutokana na kasi inayoonyeshwa…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
BEKI wa pembeni wa Yanga SC, Mohammed Hussein ‘Zimbwe JR’, amesema hakuna presha yoyote ndani ya kikosi hicho kutokana na kasi inayoonyeshwa…
OFISA Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Namungo FC ni kama “derby ndogo” kutokana na…
KIUNGO wa Yanga SC, Maxi Nzengeli amesema ushindani wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu bado ni mkubwa huku akisisitiza kuwa wao…
KIGONGO kikubwa cha usajili kinaendelea kuwaka moto huku taarifa zikidai mabosi wa Yanga wameanza kufanya mawasiliano ya chini kwa chini kwa lengo…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello ameweka wazi kuwa licha ya kuendelea kufunga mabao katika kila mchezo, kwake mafanikio ya kibinafsi si…
HAPA nchini, mvutano wa kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara umeanza kushika kasi kwa Simba na Yanga, lakini pia bado…
NUSU fainali ya kwanza ya Kombe la FA Ukanda wa Unguja, inatarajia kupingwa Mei 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa Gombani kati…
BERLIN, UJERUMANI: KOCHA wa timu ya taifa ya Ujerumani, Julian Nagelsmann ametangaza rasmi kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 26 kitakachoiwakilisha nchi…
NYOTA wa timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls, wamesema wana matumaini makubwa ya kufanya vizuri mbele ya…
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMS) imesema itaweka bei elekezi juu ya matumizi ya viwanja vya Wilaya na Mkoa vinavyoendelea kujengwa kisiwani hapa…
RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) itaendelea Jumamosi hii Mei 23, 2026 kwa mechi sita kupigwa, lakini macho ya…
LEO utashuhudiwa utamu wa Ligi ya Championship ukiendelea katika viwanja mbalimbali, ila moja ya mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi…