Trending Stories
View All
MANCHESTER UNITED NA CHELSEA LEO KITAWAKA, MAMENEJA WA TIMU ZOTE WALIKUWA WACHEZAJI WA TIMU ZAO
MANCHESTER United leo itawakaribisha Chelsea kwenye mchezo wa kwanza ambao United inakuwa nyumbani Uwanja wa Old Trafford.Agosti 11, leo Jumapili…
NEWCASTEL UNITED KUTUMIA AKILI LEO MBELE YA ARSENAL
STEVE Bruce, Meneja wa kikosi cha Newcastle United amesema kuwa leo atapambana kupata matokeo chanya mbele ya Arsenal. “Tunajua kwamba mchezo…
ARSENAL KUANZISHA MASHINE ZAKE MPYA LEO MBELE YA NEWCASTLE UNITED
UNAI Emery, Meneja wa Arsenal amesema kuwa leo atawatumia wachezaji wake wengi wapya kwa kuwa anaamini wapo fiti. Mchezo wa…
AZAM FC KUTUPA KARATA YAO YA KWANZA LEO KIMATAIFA
AZAM FC, leo wana kazi ya kutupa kete ya kwanza mbele ya Fasil Kenema nchini Ethiopia kwenye mchezo wa Kombe…
TANZANITE YABEBA KOMBE LA COSAFA, YALIPA KISASI KWA ZAMBIA LEO
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ leo imetwaa ubingwa wa michuano ya COSAFA nchini Afrika Kusini…
SIMBA WAIKOMALIA YANGA, WAIPA TANO KISHA KUICHANA KIMTINDO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Yanga wanastaihili pongezi ila wamewaangusha wananchi kwa kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya…
ZAHERA AFICHUA KINACHOIMALIZA YANGA, APANIA KUPETA UGENINI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa bado kikosi chake hakijawa na maelewano mazuri jambo ambalo liliwapa taabu kupata…
SIMBA WAREJEA BONGO KUIWAHI AZAM FC
KIKOSI cha Simba baada ya kumaliza mchezo wao wa kimataifa dhidi ya UD do Songo nchini Msumbiji kilikwea pipa na…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili.
TANZANITE KUMALIZANA NA ZAMBIA LEO COASAFA
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ leo itakuwa kazini kumenyana na timu ya Taifa ya Wanawake…
JESHI LA KMC KIMATAIFA LEO HILI HAPA DHIDI YA AS KIGALI
KIKOSI cha KMC kitakachowavaa leo AS Kigali ya Haruna Niyonzima leo nchini Rwanda
KIKOSI CHA YANGA LEO KIMATAIFA
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Township Rollers
MOHAMED SALAH AFUNGUA AKAUNTI MPYA HUKO ENGLAND
MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool ameanza kwa kasi msimu mpya wa Ligi Kuu England 2019/20. Salah raia wa Misri anayekipiga…
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA UD do SONGO
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya UD do Songo
YANGA WAIPA SAPOTI SIMBA KIMATAIFA, WAPANIA KUWAKALISHA ROLLERS LEO TAIFA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utatoa sapoti kwa timu zote ambazo zinashiriki michuano ya kimataifa Afrika inayoandaliwa na Caf ikiwa…
LUKAKU AMUACHIA JEZI MARTIAL NDANI YA UNITED
ANTONIO Martial nyota wa Manchester United amerejeshewa jezi yake ya zamani ambayo ni namba 9 iliyokuwa inavaliwa na Romelu Lukaku.Martial…