KAULI NZITO YA MANGUNGU YAIPA SIMBA MORALI KUBWA
KUELEKEA mchezo wa fainali ya kombe la Muungano kesho Visiwani Zanzibar, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesisitiza hadhi ya kikosi…
Browse all posts in this category.
KUELEKEA mchezo wa fainali ya kombe la Muungano kesho Visiwani Zanzibar, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesisitiza hadhi ya kikosi…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Gonçalves, ameweka wazi dhamira ya kikosi chake kuelekea mchezo wa fainali kwa kusisitiza kuwa malengo waliyojiwekea tangu…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema timu yao inaingia kwenye fainali ya Kombe la Muungano ikiwa…
MENEJA wa kikosi cha Yanga, Walter Harrison amesema kuwa wamewasili Zanzibar wakiwa na lengo moja kuu la kutetea ubingwa wao wa Kombe…
WAKATI presha ya mchezo wa Kariakoo Dabi kwenye Fainali ya Kombe la Muungano ikizidi kupanda, benchi la ufundi la Yanga limetaja wachezaji…
LONDON, ENGLAND: MANCHESTER City wanaonekana kushindwa katika jitihada za kubadilishiwa ratiba ya mechi dhidi ya Crystal Palace na Bournemouth, licha ya kukabiliwa…
Mama mzazi wa marehemu mwanamuziki wa Bongo Fleva Selemani Ramadhan ‘Spack’, Mwanahawa Selemani amefunguka kauli ya mwisho aliyozungumza na mwanaye. Akizungumza na…
MILAN, ITALIA: SUPASTAA wa zamani wa Real Madrid na mchezaji bora wa dunia 2018, Luka Modric ameungana na mastaa wa Liverpool, Mohamed…
KOCHA Mkuu wa Mwenge, Mohamed Said ‘Shuberi’ amesema kinachozifanya timu Zanzibar zionekane dhaifu zinapokutana na za Tanzania Bara ni maandalizi mabovu yanayofanywa.…
KITUO cha Soka cha Tigana Lukinja Football Academy kimefanikiwa kutwaa ubingwa kwenye mashindano ya Gurdian Angles Olympafrica chini ya umri wa miaka…
Jumanne hii katika dimba la Parc des Princes tutaenda kushuhudia vita ya mbinu ya walimu wawili kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu…