KAMWE AFICHUA SIRI YA YANGA KABLA YA KUIKABILI MASHUJAA FC
OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amesema kikosi cha timu hiyo kinatarajia kuondoka Alhamisi kuelekea Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya mchezo…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amesema kikosi cha timu hiyo kinatarajia kuondoka Alhamisi kuelekea Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya mchezo…
KLABU ya Yanga inaonekana kuendelea na mkakati wake wa kusuka kikosi imara kwa ajili ya msimu ujao, huku ikitajwa kuwa karibu kufanikisha…
KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker, amesema hana utamaduni wa kuilinganisha timu yake na klabu nyingine, ikiwemo watani wao wa jadi Yanga…
KATIKA kuhakikisha wanaimarisha safu ya ulinzi kuelekea msimu ujao, uongozi wa Yanga umeanza hatua za awali za kutafuta mbadala wa beki wao…
NAHODJA wa Yanga SC, Bakari Nondo, amesema mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bada zimezidi kuwa ngumu, hivyo kila timu inapaswa…
MVUTANO mkali wa usajili umeendelea kutikisa soko la wachezaji baada ya kiungo Kelvin Nashon kuingia kwenye mvutano mkubwa kati ya miamba miwili…
RAIS wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, ametoa kauli yenye kuonesha kujiamini kubwa kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, akisema…
KLABU ya Yanga imeendelea kuathiriwa na pengo lililoachwa na kiungo mkabaji Khalid Aucho baada ya kuondoka na kujiunga na Singida Black Stars,…
KLABU ya Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea hatua za mwisho za msimu, huku ikieleza kuwa kikosi chake kiko katika hali nzuri…
YANGA imepata habari njema kuelekea hatua za mwisho za msimu baada ya kiungo mshambuliaji wake tegemeo, PacĂ´me Zouzoua, kurejea mazoezini akiwa fiti…
HABARI njema zimeanza kuwasili ndani ya kambi ya Yanga kuelekea maandalizi ya msimu wa 2026/27, baada ya baadhi ya wachezaji waliokuwa wakisumbuliwa…
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa unakabiliwa na changamoto ya ratiba iliyobana, hali inayowalazimu kutafuta uwanja mwingine wa kuchezea mchezo wao…