Yanga SC

Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.

Yanga SC

MKUDE AWAINGIZA WANAJESHI VITANI

MAKAMANDA wa Mashujaa na JKT Tanzania, wamejikuta wakipiga hesabu moja msimu ujao za kuwania saini ya kiungo mkabaji Jonas Mkude. Mkude ambaye…

May 9, 2026
Yanga SC

YANGA YATOA JIBU KWA WANAOMTAKA DUBE

KATIKA harakati za kuhakikisha safu yao ya ushambuliaji inaendelea kuwa tishio kwa wapinzani, uongozi wa Yanga SC umeamua kukata mzizi wa fitna…

May 9, 2026
Yanga SC

FADLU KWENYE VITA YA UBINGWA MOROCCO

UNAMKUMBUKA Kocha Fadlu Davids aliyekuwa anaiongoza Simba msimu uliopita? Jamaa yuko kwenye vita nyingine kubwa na ngumu ya ubingwa kule Morocco akichuana…

May 9, 2026
Yanga SC

GUARDIOLA ACHIMBA MKWARA HAUSUNG FC

KOCHA Mkuu wa Hausung FC ya Njombe, Selemani Kitunda Simota ‘Guardiola’, amesema licha ya timu hiyo kutokuwa na mechi yoyote hadi Aprili…

May 9, 2026